Diana Ezerex alipata umaarufu kutokana na uchangamfu wake. Alianza kuimba alipokuwa katika kizuizi cha watoto watukutu. Sikiliza kisa chake katika video ya #kurunziujerumani 03.09.2020.