SIMULIZI ya maisha ya msanii mkongwe wa Bongo Movie, Omary Babuu ‘Bambucha’ inasisimua, inaliza na kufunza namna maisha yanavyoweza kubadilika ghafla isivyotarajiwa.
Kwa mujibu wa Seneta Risch, mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni, Marekani itatathmini upya ushirikiano wake wa kiusalama, unaojumuisha vikwazo na ushirikiano wa kijeshi na Uganda.
Vifo viwili vilivyotokana na risasi za maafisa wa shirikisho vimeiacha Minneapolis kwenye njiapanda. Ni vipi wakaazi wa jiji ...
Mawaziri wa mambo ya nje wa jumuiya ya ASEAN wanakutana Cebu, Ufilipino, wakikabiliwa na shinikizo kubwa la kumaliza vita vya ...
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Njombe (NJUWASA) inatarajia kupanda miti 80,000 katika vyanzo vya maji nane ...
Serikali ya Rwanda imechuka hatua za kisheria dhidi ya Uingereza ili kudai malipo inayosema inaidai chini ya makubaliano ya ...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amesema uongozi wa miaka ya sasa umekuwa tofauti, kwa kuwa walio ...
Wajumbe wa Urusi, Ukraine, na Marekani wamekutana Abu Dhabi siku ya Ijumaa, Januari 23, kwa mara ya kwanza katika mfumo huu, kujadili masharti ya kukomesha miaka minne ya vita nchini Ukraine. Hata hiv ...
Sierra Leone, leo Jumapili, Januari 18, inazindua Siku ya kitaifa ya ukumbusho. Tarehe hii imetangazwa na Rais Julius Maada ...
Rais wa Marekani Donald Trump anasema chombo kinachoitwa "Bodi ya Amani" kimeundwa wakati wa uzinduzi wa awamu ya pili ya mpango unaosimamiwa na Marekani wa kumaliza mzozo katika Ukanda wa Gaza. Bodi ...
Rais wa Marekani Donald Trump ameashiria kwamba Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ni kikwazo katika mazungumzo ya amani kati ya Urusi na Ukraine. Trump alizungumza na shirika la habari la Reuters ...
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili na leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana na ya neno "MLOWIMA" ...