Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema jamii inapaswa kuwa na mtazamo mpya na kuangalia ufundi stadi ...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi amesema Serikali inatambua mchango wa watetezi wa haki za binadamu na inaendelea kuchukua hatua kuhakikisha wanapata ulinzi wa kisheria.